Roma kupatikana; Tuna aman tena kama watanzania?

mtafiti05

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
956
593
Tulipo ni hatar sana, huku kutekwa na kpatkan kwa watu kwa nifanya nione Tz ni somalia ijayo! Imani inakwisha! Kufikia uchaguz 2020 watu maarufa wengi watapotea na itafkia muda wa wauchaguz mgombea upinzani hatakuwepo! Mungu ibark Tanzania mungu ibark Africa! Amen
 
Usiogope hao watekaji watakufa hadi kwa radi na kipindupindu ili alilopanga Mungu litimie,Mungu hakutuumba ili tuje kuishi kwa masononeko.
 
Back
Top Bottom