GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 59,949
- 119,216
Mtafute katika mitandao au muangalia katika tv stations mbalimbali au mbahatishe akiwa ' anatiririka ' mahala kisha mwangalie kwa jicho lako la ' tatu ' kabisa na lenye umakini wa kutukuka utagundua kuwa huyu ' Mtu ' hivi sasa......
Pole sana ' Mtu ' na naomba ujikaze tu tutafika ' mdogo mdogo '.
- Hayupo vizuri Kisaikolojia.
- Hana tena ile nuru aliyokuja nayo.
- Anapungua sana mwili ( kwa lugha nyepesi ni kwamba anakonda )
- Inaonekana kuna kitu anakijutia moyoni mwake.
- Amekuwa mpole halafu mwangalifu sana hata akiwa anazungumza.
- Analazimisha Kicheko lakini kiuhalisia hana raha wala amani kabisa.
- Anaonekana anaumwa au kwa sasa hayupo vizuri Kiafya.
Pole sana ' Mtu ' na naomba ujikaze tu tutafika ' mdogo mdogo '.