Uongozi ITV mnahatari kwa hili,

Kkimondoa

JF-Expert Member
May 31, 2014
4,453
4,933
Inamana hamkuwa na taarifa kuwa kutakuwa na tuzo za RAIS MZALISHAJI BORA WA VIWANDA?
maana mmeitwa tuzo za ITV kimya! ,wakaitwa nipashe kimya! Wakaitwa the guardian kimya! hadi ikabid aombwe apokee mzee mengi mwenyewe, ambaye yupo mbele naye ni miongoni mwa wanao gawa tuzo hizo na vyeti, aisee ! Hadi ikabidi waziri amshauri aje hata mke wake ndio kaja kupokea mama mengi.
POLENI SANA
 
  • Thanks
Reactions: MC7
ndg yng hebu rudia kusoma ulichoandika km we mwenyewe unaelewa.mmh una haraka sana?
Hapa kuelewa ni hadi uwe na taarifa tayari.
Pole mkuu nilikuwa fasta sababu mazingira hayakuniruhusu sana hapa serena kuna ka hafla na tuzo zinatolewa yupo makamu wa rais na waziri wa viwanda na baadhi ya wageni na washiriki mda wa kugawa tuzo ulipo fika wakawa wanaitwa walio shinda sasa walipo itwa ITV ,NIPASHE naTHE GUARDIAN wote hawakuwepo ndio ikabidi apokee mzee mengi mwenyewe lakin waziri akamshauri kama mkewe yupo aje apokee ndio akaenda kuchukua mama mengi
 
Kwani kuna shida gani kama hawakuwepo, je unajua nini kiliwasibu, ungesubiri kwanza watoe sababu ndiyo uje kuwalaumu,acha kukurupuka, uandishi ni kubalance story
 
Kwani kuna shida gani kama hawakuwepo, je unajua nini kiliwasibu, ungesubiri kwanza watoe sababu ndiyo uje kuwalaumu,acha kukurupuka, uandishi ni kubalance story
Acha ujuaji wewe mimi nimeeleza tukio lilivyo kuwa sijatoa huku ya nini wafanywe bali nimehoji kulikoni maana yake wao kama wana utetezi watajitetea wenyewe huko au hata kuuliza nako hadi ubalance? Na utabalance vipi bila kuhoji upande mmoja mmoja?
 
Simlisema kituo chao kinaonesha sana ugomvi wa wakulima na wafugaji kuliko kitu chochote,,,Tuzo za nini tena
 
Back
Top Bottom