Natafuta kazi ya udereva VIP

quant

Member
Apr 7, 2017
17
23
NATAFUTA KAZI YA UDEREVA VIP

Mimi ni kijana wa kitanzania naish dar es salaam. Nina elim ya kidato cha nne, ninaongea vizur kingereza na nimepitia mafunzo ya udereva VIP grade II pale NIT mabibo. Nina uzoefu wa kazi hii ya udereva kwa muda wa miaka miwili kumwendesha mbunge wa jimbo la mkinga tanga. Kwa sasa sina kazi kwa yeyote anayehitaji dereva au kama ni taasisi, shirika ama kampuni naomba tuwasiliane kupitia

0674637243

Nipo tayar kufanya kazi popote tanzania hii au hata nje ya nchi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom