NAPE NAUYE ALIVOPOKELEWA NA WAMAMA VIDEO

Ni kweli nimeona kwetu hasa hii anafanyiwa mtoto wa kike kama harusi ikijibu kuwa alijitunza na aliolewa akiwa "bikra". Mama, mama wadogo, mashangazi na mama wakubwa wanalala chini anapita juu ya migongo yao kumpongeza.
 
Huu ni upumbavu wa kiwango cha juu zaidi kushuhudia kwa miaka ya karibuni.
 
Yaani nimkute mama bhoke amelaza makalio chini mwanaume mwenzangu anapita juu!
Patachimbika hapo!!
 
Kama ni mila za kwao waacheni so long as hajamsujudia shetani,Tatizo comment nyingi hapa za watoto wa Dar ,nyumba za uridhi nini hamjui maisha,Hamjui kwenu wala nje ya Dar,Mnajitapa kuzaliwa Mwananyamala na kukulia Tandale Kwa Bi'nyau
 
Back
Top Bottom