Freyzem
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 10,113
- 24,642
Kutokana na hii sintofahamu iliyopo juu ya msanii Roma na wenzake watatu kutekwa na watu inaosemekana walikuwa wanne, hebu tujadiliane maswali haya huenda yakategua kitendawili hiki!
1.Je watekaji hao waliofanya tukio hili walikuwa na silaha yoyote iwe ya jadi au kivita?
2.Je wanaume hao watano waliofanya utekaji huo kwa kuteka wanaume wanne walitumia muda gani kukamilisha zoezi hilo?
3.Je waliotekwa hawakuweza kuonyesha reaction yoyote kwa muda wote huo walipokuwa wakitekwa?
4.Je walijitambulisha wao ni kama nani mpaka waweze kufanya tukio lile na kukamilisha mission yao kwa namna ile?
Maswali tata ni mengi kiasi...!!