Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 10,913
- 13,232
bila shaka haya maneno hata kwa watu wa ccm wameyaelewa vizuri
Kitu gani hujapenda au kuelewa ktk mchango wa Lema?Huyu Lema aanze na mwenyekiti wake, amhoji kwa nini anauza madawa ya kulevya
akikwambia namimi nishtueKitu gani hujapenda au kuelewa ktk mchango wa Lema?
Vv
Kwa nini hajataja madawa ya kulevya??Kitu gani hujapenda au kuelewa ktk mchango wa Lema?
Vv
kweli ubashite ni kazi, umeulizwa kitu gani alichokitaja hujakipenda, wewe unasema kwanini hajataja kitu fulani, kwahiyo ulitaka ataje kila unachofikiria wewe..............Kwa nini hajataja madawa ya kulevya??
Ccm point zao za kitoto,Ati nae kakaa kaiona hio ni point!!!....ukiwa uliza Mbowe anauza wapi hayo madawa utaskia si bashite alisema,kwao sasa hivi makonda ndio kila kitu..Kitu gani hujapenda au kuelewa ktk mchango wa Lema?
Vv
Hili jamaa huwa linamwaga pwent kuliko hata mapropesa ya ccm! Yaani me bungeni wanoongoza kwa kujenga hoja ni wapinzani! Kwa CCM kichwa ni Bashe peke yake wengine wote pumba tupu!! Hapo umskilize Lema, aje amwage vyake Msigwa, Afuatiwe na Sugu, bila kumsahau Silinde akifuatiwa na Mnyika! Nyooooooooooooo!!!
Hili jamaa huwa linamwaga pwent kuliko hata mapropesa ya ccm! Yaani me bungeni wanoongoza kwa kujenga hoja ni wapinzani! Kwa CCM kichwa ni Bashe peke yake wengine wote pumba tupu!! Hapo umskilize Lema, aje amwage vyake Msigwa, Afuatiwe na Sugu, bila kumsahau Silinde akifuatiwa na Mnyika! Nyooooooooooooo!!!
Kanuni inamtaka afanye hivyo? Je, kila mbunge akizungumzia dawa za kulevya, mengine yatazungumzwa na nani?Kwa nini hajataja madawa ya kulevya??
Biashara ya mwenyekiti hawezi kutajaKanuni inamtaka afanye hivyo? Je, kila mbunge akizungumzia dawa za kulevya, mengine yatazungumzwa na nani?
Vv
Sasa mbona tunauelewa kuliko hao unaodai hawana upepo,na unadhani kutokuwa na upepo ni sifa njema.Naani kakudanganya wewe? Kuna Saikolojia ndogo tu! Mtu mweupe siku zote huwa napiga kelele ili watu wajue yupo. Kiukweli hana chochote zaidi ya kujaa upepo na wasijua kujaa upepo wakidhani anajenga hoja. Duu, ama kweli wajaa upepo wanaweza potosha njia wakijua wao wanataka nini na wanajua nguvu walionayo nyuma ya pazia. Kelele siyo kujenga hoja. Hata maneno ya hekima yanasema kutumia lugha ya taratibu ni busara na hekima. Hata muombapo "Msipayuke payuke" Hata hilo nalo hujui "Manjagata?