Hawakutaka kurudia makosa ya Ulimboka

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
146,359
2,000
Siku moja kwenye story hizi za vijiweni jamaa mmoja akasema kuwa lilikuwa ni kosa moja kubwa sana la kiufundi kumuacha Ulimboka hai..kwakuwa mengi yatokanayo yalikuja kujulikana...Ulimboka hakupaswa kubaki hai kwa mukatadha wa watesi wake!

Kosa lingine kubwa la kiufundi lilikuwa kufanya mawasiliano ya kielectronic na kimtandao kupitia simu za mkononi...hivi vitu vinaacha alama zisizofutika...ndio maana mawasiliano yale yakaja kuwekwa wazi neno kwa neno muda eneo mpaka sekunde

Kosa lingine ni security bleach....kulikuwa kuna loop hole mahali, hakukuwa na tight mark hivyo kuruhusu habari zisizotakiwa kuvuja
Kwahiyo nini kingefanyika in future
-kuwa na encycriped devises ambazo haziruhusu mawasiliano kuvuja kwa njia yoyote ile

-kufanya system overhaul ili kuondoa posibilities zote za virus waliokuwa wanavujisha habari

-kutumia Osama technique ambayo ilimsaidia sana 'manual search' hakuna kutumia simu kabisa mawasiliano yote yanakuwa locally...yani kama unanitafuta mimi unanifuatilia kinyumenyume kupitia wengine mpaka unanifahamu vilivyo ratiba zangu daily ninapoishi nk nk....baada ya hapo ni rahisi sana kuninyakua pahala nikiwa pekeyangu hasa gizani

Kwa njia hii mtanitafuta mpaka basi kumbe tayari niko kwenye tumbo la chatu naoza taratibu
 
G bznes

JF-Expert Member
Jul 19, 2014
777
1,000
Kwa nanii c mawasiliano c yalifanyika, japo wanabana kuyaweka wazi, ila yote ni ovyoo ukitaka kumfuatilia mtu, ni kutumia njia za kimafia tuu ila uwe na akili nying za kutoacha nyayo nyuma
 
Kalamu Yangu

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
1,031
2,000
Nikikumbuka hilo jina Ulimboka najikuta naumia sana...
Mzazi anaumwa yupo hospital

Mara mgomo umeanza
Madaktari nao wanadai kitu kidogo walau mzazi apate sindano apoze maumivu.

Ni siku moja kabla ya ule upasuaji uliptakiwa ufanyike kutibu tatizo la mzazi.

Siku inafika hakuna kinachoendelea unawafuata madaktari wakikusamehe sana wanakwambia "babako anakufa leo, umejipangaje asife kwa maumivu"

Hatimaye mzazi anakufa kwa mateso,
naam anamaliza kazi yake duniani , siku ilifika lakini majibu ya daktari yule hunitia hasira sana na namwona kama mtesi wa baba yangu.
Hadi leo jina Ulimboka na jina la Hospital ile hunikumbusha yale maumivu aliyoyapata baba.

Pumzika salama baba, tunakukumbuka daima.
 
Kidogo chetu

JF-Expert Member
Nov 27, 2009
1,428
2,000
Kweli Mkuu Mshana kumbuka wahenga walinena kuwa kutenda kosa si kosa bali kurudia kosa ni kosa kubwa sana na huwa hakuna msamaha.
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
146,359
2,000
Nikikumbuka hilo jina Ulimboka najikuta naumia sana...
Mzazi anaumwa yupo hospital

Mara mgomo umeanza
Madaktari nao wanadai kitu kidogo walau mzazi apate sindano apoze maumivu.

Ni siku moja kabla ya ule upasuaji uliptakiwa ufanyike kutibu tatizo la mzazi.

Siku inafika hakuna kinachoendelea unawafuata madaktari wakikusamehe sana wanakwambia "babako anakufa leo, umejipangaje asife kwa maumivu"

Hatimaye mzazi anakufa kwa mateso,
naam anamaliza kazi yake duniani , siku ilifika lakini majibu ya daktari yule hunitia hasira sana na namwona kama mtesi wa baba yangu.
Hadi leo jina Ulimboka na jina la Hospital ile hunikumbusha yale maumivu aliyoyapata baba.

Pumzika salama baba, tunakukumbuka daima.
Mmh pole sana sana!
 
Foundation

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
1,448
1,500

Pole sana. Kilichofanyika wakati ule ilikuwa ni sawa na Uhaini. Serikali ilitakiwa ifanye kitu ili iwe kumbukumbu kwa wengine. Watu walipoteza ndugu sana. Ule ni uhaini tu
 
Mr.Junior

JF-Expert Member
Sep 8, 2013
10,288
2,000
Pole sana!

Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Apr 22, 2012
15,140
2,000
Pole sana. Kilichofanyika wakati ule ilikuwa ni sawa na Uhaini. Serikali ilitakiwa ifanye kitu ili iwe kumbukumbu kwa wengine. Watu walipoteza ndugu sana. Ule ni uhaini tu
Kwa akili na mtizamo wa upande mmoja, ukienda upande wa pili nao walikuwa wanadai haki zao na sio kwamba waliamka siku hiyo na kugoma.

Kuwa fair. Ajira na ujira. Usiliwachukie nyuki, mchukie aliyerusha jiwe kwenye mzinga pia.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom