Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mamlaka ya Chakula na Dawa(TFDA) imefanya uchambuzi wa awali wa matokeo ya utafiti uliofanywa mwaka 2014/15 na wataalamu kutoka Michigan State University Marekani wakishirikiana na SUA kuhusu...
4 Reactions
57 Replies
13K Views
Tapeli anatuma huu ujumbe; "Bw Jolam nashukuru kwa kunishukuru nilivyokusaidia umepata utajiri umefunguwa maduka ya jumla na umenunuwa daladala hongera kwa kufuata masharti badirisha hizo dawa...
3 Reactions
33 Replies
4K Views
Huduma za Meli za Mizigo katika Bandari ya Kyela kuanza katika Ziwa Nyasa hivi karibuni. Kwa Maelezo zaidi Tafadhali wasiliana na ofisi za TPA kwa namba za simu +255 (692) 114498 na (715) 212618...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hongera mrembo kwa kazi nzuri ya uendeshaji wa kipindi che television cha "Mimi na Tanzania" kinachorushwa na channel ten, kwani kinatoa mchango mkubwa wa kuwajua wenye matatizo makubwa ya kiafya...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kufanikiwa ni ndoto ya kila mwanadamu aweye yeyote yule mwenye utimamu. Kila mtu katika kazi yake anataka kufika pahala ambapo atajivunia na jamii itatambua uwezo na aliyofanya. Nimeandika mambo...
4 Reactions
3 Replies
2K Views
Hivi wale tuliowaona leo ni makomandoo? Kama ni makomandoo wapo kwenye rank gani?
7 Reactions
512 Replies
89K Views
Mganga Mkuu wa Serikali Profesa Muhammed Kambi Dar es Salaam. Imeelezwa kuwa matumizi ya dawa aina ya antibayotiki kwenye sekta ya kilimo na mifugo yanachangia usugu wa dawa kwa binadamu...
0 Reactions
1 Replies
944 Views
Wakuu nimekaa nikawaza sana, hivi huu mwaka 1947 kwa kifupi huitwa mwaka 47 , una Nini au una kipi cha kipekee maana kila jambo lililopitwa na wakat huusisha na mwaka huu, ukiwa mshamba huitwa wa...
1 Reactions
35 Replies
3K Views
Wadau, Weekend hii nitakuwa Tanga ombi langu kwenu ni beach hotel gani naweza kupumzika yenye gharama rafiki kidogo. Naomba kuwasilisha
1 Reactions
32 Replies
6K Views
Hello JF, Nilikua nauliza kama kuna mtandao wenye kazi za wale waliomaliza PhD? Hii itawasaidia ambao wanasoma sasa. Tumeni kazi zenu, msife nazo lol
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu habari za muda huu? Natumaini mmeshinda salama. Niende moja kwa moja kwa nilichotaka kuzungumze japo kwa ufupi. Mimi ni kijana niliyekuwa nikihangaika kutafuta fursa mbalimbali za kujiajiri...
9 Reactions
87 Replies
9K Views
Kwa madereva wenzangu huku barabarani hawa wenzetu baada ya kuona mbinu zao za tumeanza kuzizoea wamebuni mbinu mpya nayo ni kupanda juu ya miti na kamera zao. Zingatieni sheria muwapo barabarani.
1 Reactions
17 Replies
4K Views
We KAMBAYA huyu jamaa anayeonekana kwe video clip anaingia kwe mkutano wa CUF na kuanza kupiga watu si ndo huyu aliyesagwa na raia wema? Na ni mfuasi wa pro. Sasa unatuambiaje eti waliovamia ni...
0 Reactions
2 Replies
910 Views
Mimi ni ghalama kubwa sana...alafu ubora wa chakula hakuna,vyoo vichafu sana..sasa sijui uwa ni dili ya dereva kupeleka abiria pale...au mmiliki wa gari ana asilimia yake...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Tunaamini kwamba siku moja tutapaa kwenda mbinguni huku dunia ikisafishwa na wenye dhambi kuondolewa milele. Baada ya dunia kusafishwa mbingu mpya itashuka na ndio makao ya milele kwa wale ambao...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Habarini wakuu, Hili tukio limetokea Jana usiku. Chanzo cha tukio kuna mtu(mwanamke) alikuja nyumbani kwa dada(binamu) yangu majira ya saa mbili usiku, muda huo dada yangu. Alikuwa anaongea na...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Amani kwenu ndugu zangu, Kuna hii tabia inanikwaza sana ingawa sina jinsi ya kuiacha. Huwa sijisikii raha hata kidogo kuwa kwenye mikusanyiko na kupiga soga, hii imenifanya kuwa na marafiki...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
japo ni kama wiki kadhaa zimepita, ila kwa wale ambao hamkubahatika kuiona hii hapa
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Back
Top Bottom