SWALI: Kati ya chai ya rangi na chai ya maziwa ipi haina rangi?

BigBaba

JF-Expert Member
Feb 7, 2017
1,908
9,040
Haya swali kwa Waswahili:

Kati ya Chai ya Rangi na Chai ya Maziwa ipi haina rangi?

Hii mnaruhusiwa kuibia hata Google

badaye tutafanya majumuisho
638a0b417deba240bbd77a33c3993bc0.jpg

c3b9856443e68328d815cf9efaf4d415.jpg
 
Unualiza maswali ya kitoto mkuu tunaomba tuheshimiane humu tupo watu wazima tupu naamini kabisa hakuna under 18 ambaye yupo humu.

Umeshasema chai ya rangi halafu unauliza ipi haina rangi!!! Are u serious kweli?

Hebu kama una mtoto hapo nyumbani muulize maziwa yakitiwa majani ya chai yanakuwa na rangi gani then utuletee mrejesho.
 
kaka ni swali la kupima tu kiswahili
 
Chai ya rangi gani unasemea maana hata hiyo ya maziwa ni ya rangi sawa na chai ya rangi
 
chai ni kinywaji kilichotiwa mchai mchai
Kweli big baba hayo ndiyo ulifata shule?

Chai ni kinywaji kilichotiwa Chai ndani(chai ni zao wala sio maji) ukichanganya maji yako na chai ndipo unapata Chai kinywaji sio mchai chai.

Mchai chai ni tofauti na chai (nimesahau unavyoitwa kwa kiswahili sahihi)
 
Back
Top Bottom