Wakereketwa wa dini asilimia kubwa ni unafiki wa hali ya juu. Watu hao sio wacha mungu wana yao. Ni usongo wa kushindwa katika maisha, kutaka mafankio ya kisiasa au kibiashara kupitia dini, chuki kwa mafanikio ya watu wa imani tofauti na kadhalika.Usidanganyike maisha ni hapa duniani ndio maana jamaa wanatafuna miraa masaa 24 bila kujali wake na watoto wao! Nimeona Mogadicio mtu anamuua mwenzake na kumpora mali hapohapo akaingia msikitini kuswali mchana kweupe. Sijui kama mungu wake alimsamehe!Mirungi au milaa ni miongoni mwa kundi la madawa ya kulevya inakuwaje asilimia 90% ya wasomali wanatumia aina hii ya ulevi wakati dini yao inakataza ulevi, inamaana alshabab na wafia dini wengine hawajaliona hili.