Heshima kwenu wanajamvi.
The video went viral last Sunday. It shows a passenger in an American Airline being dragged off the plane (like a Lion dragging a gazelle in the Serengeti plain ).
Tatizo lilitokana na flights kuwa overbooked, hivyo walihitajika abiria 4 wapungue. wahudumu wa ndege waliamua kuwachomoa randomly na ndipo walipomfikia jamaa mmoja aliyekataa katakata kutoka akisema yeye ni daktari na ana mgonjwa wa kumuhudumia. Askari walianza kumvuta kwa nguvu na kumburuza kitu kilichosababisha ajigonge kwenye viti na kutoka damu usoni.
Tukio hilo limewakera watu wengi hasa wachina kwa sababu abiria huyo ana asili ya kichina.
Wachina wanaona hilo tukio limetokana na ubaguzi na wameanzisha hashtag kwenye mitandao inayosema [HASHTAG]#Boycoat[/HASHTAG] American Airline#
Pamoja na kuwa one of the police officer amekuwa suspended, bado Shirika hilo linahaha kwa kuhofia kupoteza "a vital growing market" ya wachina kwani wanadai there is nearly 100 flights to China every week.
Sasa leo VOA wamedai mitandao ya kijamii imekuza sana hili tatizo. Sisi Wa Tanzania tuna lipi la kujifunza hasa tukizingatia kuwa mitandao ya kijamii ndo kwanza imeanza kushika kasi..????
## natamani malaika washuke wazime hii mitandao ##