Nimeamini kwa Serikali hii mambo mazuri zaidi yatazidi kuja

bryan2

JF-Expert Member
Jun 8, 2016
3,321
4,671
Kweli hii ni Serikali ya mipango na mikakati.

Baada ya Serikali yetu kumwaga Ajira za walimu binafsi naamini mambo mazuri zaidi yatazidi kuja,la msingi tuipende Serikali yetu na kutoa Ushirikiano.

Leo wameanza na walimu next watakuja na kada zingine.

Hatuna budi kuipongeza Serikali yetu tunaona mnayoyafanya.

Bravo.
 
Hata mm naamini ajira zitakuwepo na atoboresha mshahara kwa watumishi wa umma.
 
Hata mm naamini ajira zitakuwepo na atoboresha mshahara kwa watumishi wa umma.
uko sahihi jana nilikuwa naongea na mzee mmoja hivi wa serikalini naye kanena hivyohivyo.
 
Back
Top Bottom