Kamanda Sirro, hukumsikia Rais akisema majambazi wanyang'anywe silaha 'haraka-haraka'?

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Aug 28, 2016
8,658
15,784
Hapo jana kamanda Siro alionekana 'akiwaombolezea' majambazi ambao walinyang'anywa silaha 'haraka-haaka' na wananchi ambao waliitikia wito wa mh Raisi wa kuwanyang'anya silaha 'haraka-haraka' kabla hawajafanya uhalifu ziaidi...
Ningependa kujua kama kamanda hakulisikia hili agizo maana wananchi wameonesha kuitikia mwito wa amiri jeshi mkuu, na sasa majambazi wenye cha moto wanapata 'haki yao' kama inavyowastahiki...
 
Back
Top Bottom