Gwajima achimbwa mkwara na Mchunganji Komando Mashimo

Gwajima achimbwa mkwara na Mchunganji Komando Mashimo

Chintu

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2011
Posts
5,521
Reaction score
3,584


Mwanadamu hujaribiwa sawasawa na ukubwa wa imani yake. Kwanini Gwajima anapojaribiwa anatangaza vita?

Nasubiri Gwajima kama atamsagasaga huyu Mchungaji au machine yake saa hizi yake ni akina Diamond na Makonda.
 
Hajui kwamba anajichimbia shimo la uharibifu
 
Anatafuta kujulikana kupitia mgongo wa mch gwajima na kimambi, kwanza kanisa lake silijui lilipo
 


Mwanadamu Hujaribiwa sawasawa na ukubwa wa imani yake. Kwa nini Gwajima anapojaribiwa anatangaza vita?
Nasubiri Gwajima kama atamsagasaga huyu Mchungaji au machine yake saiz yake ni akina Diamond na Makonda.

Ametembea kwa mguu toka pugu kajiungeni hadi posta kuja kutafta kick. Nchi kweli inaendeshwa kwa kick.
[emoji3] [emoji3] [emoji12] [emoji12] [emoji13]


Uzuri wote wanautumia ukristo kutimiza matakwa yao na sio kuhubiri neno. Bado 1kor1:9-13 inawaumbua
 
Nimeingia kidogo kwenye hiyo sinema yake, ni kama vile wanawateka akina Roma. Hivi asijekuwa ndo huyu mtekaji mkuu?
 
Back
Top Bottom