Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 26,568
- 48,693
Leo hebu tujadili mambo ya maana kidogo kila kitu duniani kina maana yake. Hivi unajua kinyesi chako kinadefine ulivo yaani kitabia, kiafya na kiakili!
Kuna aina mbalimbali cha choo/kinyesi kutokana na muundo wake/shape
sasa tutaangalia kila mtu na kinyesi chake na tabia zake.
Ukitaka kuprove siku ukipata choo cha aina fulani utashangaa unakuwa na tabia fulani na mood fulani etc