Je mgonjwa anahaki ya Kumshitaki Daktari / Muuguzi / Hospitali

Southgate

Member
Aug 17, 2013
61
27
Habari wa kuu,
Kwa wenye weledi na Maswala ya Sheria na Matibabu hapa kwetu Tanzania , Je mgonjwa anaweza kumshitaki Daktari / Muuguzi / Hospitali endapo atapata madhara yaliyo sababishwa na uzembe wa Daktari / Muuguzi / Hospitali? .
 
Back
Top Bottom