Moi Dinya
JF-Expert Member
- May 29, 2014
- 1,296
- 825
Nchi imefikia patamu Sana,
Reli (standard gauge) kujengwa na uzinduzi tayari tena ujenzi utagharimu fedha za ndani.
Huku interchange pale Ubungo, fly over za tazara na aghakan usisahau..
Madeni ya walimu na watumishi wengine ynaendelea kulipwa huku.
waziri wa afya ummy mwalimu anasambaza vitanda kila halmashauri,
Hapa ajira za walimu zaidi ya 3000 zikitangazwa....
Huku EU yaridhishwa na mwenendo wa nchi hadi kutoa fedha,
World Bank nao wametoa ripoti Tanzania Inaongoza Kwa ukuaji wa uchumi East Africa.W
akati huohuo bombardier 2 kutua nchini June....
nchi imefikia patamu mno