MOSHI: Diwani wa CCM afikishwa mahakamani kwa tuhuma za kughushi vyeti

Rais2020

JF-Expert Member
Jul 14, 2016
3,248
5,537
Aliyekuwa Diwani wa CCM Manispaa ya Moshi, Gresta Sodoka amefikishwa mahakamani na TAKUKURU kwa tuhuma za kughushi vyeti vya elimu.
464fdc82c755fafc2a21f57cf352d8af.jpg
[HASHTAG]#Mwananchi[/HASHTAG].
My take: Mkuu wa Mkoa wa Dar anaogopwa kama ukoma. Takukuru siyo kwa MTU yeyote yule Bali wachache.
 
Hii ni hatari yaani inahatarisha Usalama Wa hii Nchi kama kweli bashite ana vyeti vya kubumba na yupo anakula bata .

Acha Muda utuhukumu kwa hili .
 
Aliyekuwa Diwani wa CCM Manispaa ya Moshi, Gresta Sodoka amefikishwa mahakamani na TAKUKURU kwa tuhuma za kughushi vyeti vya elimu.
464fdc82c755fafc2a21f57cf352d8af.jpg
[HASHTAG]#Mwananchi[/HASHTAG].
My take: Bashite anaogopwa kama ukoma. Takukuru siyo kwa MTU yeyote yule Bali wachache.

Rais Magufuli anaonyesha moyo wa kufanya kazi nzuri kwa Watanzania na kupigana na ufisadi. Kitu najiuliza mbona amefumbia macho Mkuu wa Mkowa kwa tuhuma nyingi zinazomuandana? Na mbona TUKURU pia imekaa kimya? Kwani jamani HUYU mtu yuko juu ya sheria na mkubwa kushinda nchi na watu wake?
 
Si kakutwa na vyeti feki au!?

Nyie mnaomsema Mhe. Makonda vyake mnavyodai ni feki mlimuona ana vyeti feki!? Acheni majungu, hivi mnapiga kelele mmeshaambiwa udaku hausikilizwi na wanaojua ukweli wa mambo, sasa nini tena. Kaeni mlie tu, hapa kazi tu

Mtanyooka tu

Makonda oyeeeee
Sasa Bashite hatujamkuta na vyeti halali wala feki, kwa kifupi Bashite anatakiwa awe jela.
 
Aliyekuwa Diwani wa CCM Manispaa ya Moshi, Gresta Sodoka amefikishwa mahakamani na TAKUKURU kwa tuhuma za kughushi vyeti vya elimu.
464fdc82c755fafc2a21f57cf352d8af.jpg
[HASHTAG]#Mwananchi[/HASHTAG].
My take: Mkuu wa Mkoa wa Dar anaogopwa kama ukoma. Takukuru siyo kwa MTU yeyote yule Bali wachache.

YAANI KIUKWELI WANAMUONEA HUYU DIWANI.

KWANI CCM WOTE NI VIHIYO TU, HATA WENYE PHD NI ZA KUPEWA KAMA KARANGA.

NA NDIO MAAN BASHITE ANATETEWA KWANI WOTE WAMEFOJI VYETI SASA NANI AMFUNGE PAKA KENGERE.

SEMA USIKIKE.....

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Mimi sielewi. Pia wanajamvi naomba mnisaidie. Nashindwa kuunganisha mahusiano kati ya kazi za TAKUKURU na vyeti feki. Mbona siioni rushwa katika hivyo vyeti feki? Hivi TAKUKURU wanahusika vipi na vyeti vya taaluma? Wasiwasi wangu mwisho wa siku utaona kesi itakavyoishia kwa kumtakatisha muhusika.
 
Aliyekuwa Diwani wa CCM Manispaa ya Moshi, Gresta Sodoka amefikishwa mahakamani na TAKUKURU kwa tuhuma za kughushi vyeti vya elimu.
464fdc82c755fafc2a21f57cf352d8af.jpg
[HASHTAG]#Mwananchi[/HASHTAG].
My take: Mkuu wa Mkoa wa Dar anaogopwa kama ukoma. Takukuru siyo kwa MTU yeyote yule Bali wachache.
DAB ni mteule wa Mkulu,
Doa lolote likipatikana kwa DAB means vetting haikufanyika vizuri kabla ya kumteua,
Ndio kusema kwamba itaonekana kua taasisi ya Ukulu haikua makini wakati inafanya uteuzi wake kwa DAB,
Ndio maana mkulu kaamua kupiga kimya ili ibaki kama tetesi tu, kuliko kujiumbua kua hakumchunguza ipasavyo DAB
 
Mimi sielewi. Pia wanajamvi naomba mnisaidie. Nashindwa kuunganisha mahusiano kati ya kazi za TAKUKURU na vyeti feki. Mbona siioni rushwa katika hivyo vyeti feki? Hivi TAKUKURU wanahusika vipi na vyeti vya taaluma? Wasiwasi wangu mwisho wa siku utaona kesi itakavyoishia kwa kumtakatisha muhusika.
Vyeti vinapatikana kwa kusoma darasani,
Sasa kama unampa hela mtu tu ambae hahusiki na kutoa vyeti ili akupe vyeti au anahusika lakini ambavyo hukuvisomea hiyo ni Rushwa tu bila ubishi.
 
Duh... Hivi enyi viongozi wa Tanzania, ni nani aliye waroga msisikie vilio vya watanzania?
Hakika Mungu anawaona... Msiwe wanafiki katika kulitaja bure Jina la Mungu. Maana mtaanza ooh Nasema ukweli.. Sijui msema kweli ni mpenzi wa Mungu... Nawaambia kama Mwinjilist na mhubiri.. Kwamba msilitaje Jina la Bwana bure maana Bwana hatamhesabia haki mtu yule alitajae Jina la Bwana Mungu bure... Tendeni haki, haki iliyo sawa na sheria.
 
Back
Top Bottom