Sir_Mimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2013
- 7,172
- 15,725
Wakuu hivi ule mpango wakuhama mtandao A kwenda B bila kubadilisha line wala namba ya simu uliotangazwa na TCRA kwamba ungeanza 01 march 2017 ulifanikiwa?naomba kama kuna yeyote aliefanikiwa atupe mrejesho hapa kama kuna changamoto aziseme ili wengine tujue kama na sisi tuhame au tubaki maana kuna watu nataka kuwahama.pia ikiwezekana waseme njia za kufanya ili kufanikisha.
Nawasilisha.....
Nawasilisha.....