Kumzuia mkulima kuuza mazao yake ni haki kisheria?

gkutta

JF-Expert Member
Feb 21, 2012
273
168
Maagizo kwa mkulima mwenye kutegemea kilimo kama ajira yake ati asiuze mazao yake kwa sifa za kujikinga na njaa wilayani kwake.

Huyu mkuu wa wilaya na atueleze huyu mkulima atapata wapi pesa ya kumsomesha mtoto matibabu na sukari ama chumvi bila kuuza mazao yake tunapotoa maagizi sharti tuangalie athari zake kila kona.
 
Back
Top Bottom