Mbinu chafu watekaji wanayotumia kukunyamazisha

Zero Hours

JF-Expert Member
Apr 1, 2011
12,943
18,665
Hapa nazungumzia hawa watekaji wa Tanzanzania. Hii sio story za movie au kutunga.

Utekaji Tanzania haujaanza leo. Kuna awamu ya Rais Flani hapa Tanzania, wapinzani walitekwa sana. Sema sasa Mambo ya kidigitali yanasaidia kusambaza habari haraka sana. Kuna watu walikuwa madiwani/ wabunge ( siwataji) walifanyiwa mbinu hii na wapo kimya mpaka leo.

Hapa naongekea utekaji wenye malengo machafu ya kisiasa.

Hawa watekaji wana mbinu chafu sana ya kumyamazisha mtekwaji kiasi kuwa hata wakimuachia huru, hawezi ongea yaliyomtokea na yote aliyofanyiwa.

Kwa kifupi ni kuwa, Hawa jamaa wanatabia za kuwaingilia kinyume cha maumbile watekwaji huku wanawapiga picha au wana warecord video. Pale wanapoamua kukuachia huru, wanakupa mashariti moja wapo ni la kukaa kimya. Endapo utakiuka mashariti, wanasambaza picha au video zinazoonyesha jinsi walivyokuwa wakikuingilia kunyume na maumbile.

Sasa wale mnao mtupia matusi Roma katika kipindi hiki kigumu anachopitia mjaribu kuangalia na upande wa pili. Hamjui kapewa mashariti gani mpaka anakuwa mgumu kueleza yote yaliyomkuta. Hawa jamaa wanamateso ni hatare. Usiombe yakukute siku moja.

Wapo ambao waliharibiwa kisaikolojia kabisa kwa hii mbinu maana dah... hebu assume kesho mnakutana na kivideo clip mtandaoni Roma anafanyiwa vya sodoma. Yan hii ni mbaya sana. Hta mimi nakaa kumya milele.

Kwa mfano assume wewe ni msanii, umeandaa bonge ya li-single la kuichana serikal. Dena watekaji wanakudaka alafu wanakufanya yao. Na wanakuambia, ukijaribu kuichana tu serkal, wao wanareleaze your anal sex tape. Unadhani unaweza jarbu kwenda kinyume cha mashart?????

2e0f2103a714a9f24b70b1186935cd6e.jpg
 
Sasa hata ukikaa kimya inasaidia nini wakati ushaliwa ndogo tayari na bikra haipo tena...

Ni bora ukaitangazia dunia ili wengine wasifanyiwe huu uonevu na ili usaidie kuikomesha hiyo tabia...
Binafsi naingia pale ubalozi wa USA kuomba hifadhi na ninamwaga kila kitu na watanilipa fidia kiasi kikubwa saana cha hela ikiwa pamoja na wahusika kwenda jela tena sio Tanzania..
 
Hapa nazungumzia hawa watekaji wa Tanzanzania. Hii sio story za movie au kutunga.

Utekaji Tanzania haujaanza leo. Kuna awamu ya Rais Flani hapa Tanzania, wapinzani walitekwa sana. Sema sasa Mambo ya kidigitali yanasaidia kusambaza habari haraka sana. Kuna watu walikuwa madiwani/ wabunge ( siwataji) walifanyiwa mbinu hii na wapo kimya mpaka leo.

Hapa naongekea utekaji wenye malengo machafu ya kisiasa.

Hawa watekaji wana mbinu chafu sana ya kumyamazisha mtekwaji kiasi kuwa hata wakimuachia huru, hawezi ongea yaliyomtokea na yote aliyofanyiwa.

Kwa kifupi ni kuwa, Hawa jamaa wanatabia za kuwaingilia kinyume cha maumbile watekwaji huku wanawapiga picha au wana warecord video. Pale wanapoamua kukuachia huru, wanakupa mashariti moja wapo ni la kukaa kimya. Endapo utakiuka mashariti, wanasambaza picha au video zinazoonyesha jinsi walivyokuwa wakikuingilia kunyume na maumbile.

Sasa wale mnao mtupia matusi Roma katika kipindi hiki kigumu anachopitia mjaribu kuangalia na upande wa pili. Hamjui kapewa mashariti gani mpaka anakuwa mgumu kueleza yote yaliyomkuta. Hawa jamaa wanamateso ni hatare. Usiombe yakukute siku moja.

Wapo ambao waliharibiwa kisaikolojia kabisa kwa hii mbinu maana dah... hebu assume kesho mnakutana na kivideo clip mtandaoni Roma anafanyiwa vya sodoma. Yan hii ni mbaya sana. Hta mimi nakaa kumya milele.

Kwa mfano assume wewe ni msanii, umeandaa bonge ya li-single la kuichana serikal. Dena watekaji wanakudaka alafu wanakufanya yao. Na wanakuambia, ukijaribu kuichana tu serkal, wao wanareleaze your anal sex tape. Unadhani unaweza jarbu kwenda kinyume cha mashart yao?????
mimi nasema watu wajue tu.alafu kitakachofata mtaweka kumbukumbu kwa vizazi
 
Sasa hata ukikaa kimya inasaidia nini wakati ushaliwa ndogo tayari na bikra haipo tena...

Ni bora ukaitangazia dunia ili wengine wasifanyiwe huu uonevu na ili usaidie kuikomesha hiyo tabia...
Binafsi naingia pale ubalozi wa USA kuomba hifadhi na ninamwaga kila kitu na watanilipa fidia kiasi kikubwa saana cha hela ikiwa pamoja na wahusika kwenda jela tena sio Tanzania..
Mmmmmmmm
 
Back
Top Bottom