mhugo hantish
Senior Member
- Apr 21, 2015
- 137
- 36
Takribani miezi mitatu hadi minne sasa inaelekea tangu sakata linalomkabili Mkuu wa Mkoa wa dar-Es-Salaam kushika kazi.. Na sasa tunazidi kusikia mengi juu yake yakijitokeza ambayo kwayo yeye inaonyesha ni engineer wa haya. Ni source of the trending stories.
Hali hii kama angeweza kuikubali na kuitafsiri kwa maana na kisha kuchukua uamuzi wa busara kama mkuu wa Mkoa kulitolea utatuzi isingekua shida kwa sasa. (nazungumzia vyeti, uvamizi, utekwaji, utovu wa nidhamu kwa mamlaka iliyo juu yake, uonevu kwa wananchi na matumizi mabaya ya askari polisi pamoja na ulinzi, na matumizi mabaya ya lugha kwa wananchi wake,).
Hivi sasa vitu, mambo na majukum yote ya kimaendeleo yanadorola kwa sababu ya sakata Lake. Hali hii imepelekea kuzoeleka sana. Kesho kukicha tuna subiri kusikia kitu gani kinaendelea juu yake. Muziki saiz umeshuka sana hadhi labda wanaoimba siasa za matukio haya ndio wanapatia Kiki humo humo.
..........