dittu
Member
- Dec 2, 2016
- 75
- 53
Kuna watu huwa siwaelewi kabisa anatumia nguvu zote kumpinga gwajima kwa kigezo kwamba anachanganya dini na kujipambanua kama mtetea haki au kukemea maovu anayoyaona yeye kuwa ni maovu.
Lakini mtu huyu huyu ni anamtazama martini luther kama roly model wake sasa najiuliza sijuwi anelewa anachokiona au haelewi.
Tukimtazama martini luther ni mwanzilishi wa kanisa la kiluther duniani hata hapa nchini yapo mengi tu hakuishia hapo pia alikuwa mpigania haki za watu weusi na kukemea maovu mbalimbali yaliyokuwa yanafanywa na serikali kipindi hicho,kifupi alikuwa anafanya dini na siasa kwa wakati mmoja hii ilipelekea kujizolea wafuasi mbalimbali kuanzia kipindi hicho hadi sasa hivi,
Msiamao wake kisiasa ndio uliopelekea mpka akauwawa na aliokuwa anawapinga kipindi hicho.
Tukimtazama gwajima naye ni mwanzilishi wa kanisa ambalo linamatawi hapa nchini na dunia.lakini pia anajipambanua kuwa mkemea maovu mbalimbali yanayotokea hapa nchini au kusababishwa na serikali lakini kuna mtu anakuwa mbele kusema hamkubali lakini mtu huyo huyo anasema anafuata fikla za martini luther.
Nabaki kujiuliza au labda ni rahisi sana kumkubali mtu tunayemsoma kwenye historia,kuliko kumkubali mtu tunayeishi naye kwa wakati mmoja hata kama anafanya kilekile kilichoandikwa kwenye histolia au ndo ile nabii hakubaliki nyumbani.
Tuache kutojielewa kama unamtazamo wa kupinga mawazo ya mtu yapinge mayazo ya aina hiyo hiyo kwa watu unaowasoma kwenye histolia siyo unakuwa kama kinyonga unabadilika kulingana na mazingila.