Salaam.
Ndugu Watanzania kila mtu achukue tahadhali na Hawa matapeli wa App ya Ms Tanzania na ikiwezekana Serikali iwashughulikie ili watanzania wasiendelee kutapeliwa japo kazi yao pia ni kinyume cha sheria.
Hao jamaa wanabadili tu majina na tumeshawasema sana humu ndani.
Kwa kifupi hakuna kitu kama hicho ni utapeli tu
Yamefungua Page za Watu maarufu Fb Kisha kupost huo utapeli wao na kwa majina ya hao watu kuna Page ya Millard Ayo, Halima Mdee, Sugu, Reginald Mengi, Jerry Slaa, Nape Nnauye n.k . Mbaya zaidi hizo post zinakuwa Zimedhaminiwa na hivyo wengi kuingia kingi wakidhani ni kweli Hao wahusika ndio Wamepost hayo!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.