TCRA chunguzeni kuhusu ving'amuzi

MfalmewaKiha

JF-Expert Member
Feb 16, 2017
1,191
1,237
Habari za leo watu wa Mungu,

Bila kupoteza muda naomba niingie moja kwa moja kwenye main point yangu. Mimi ni mmoja kati ya watanzania Milion 45 ninae penda mwendelezo hasa katika kizazi hiki cha Siku za mwisho. Hili swala la Digital upande wa ving'amuzi hasa ukizingatia Huduma zao hasa, vifurushi, customer care, nert work nk kwa kweli naomba TCRA wa jaribu kulipitia kama kweli linakidhi mahitaji ya walaji ambao ni watanzania.

TCRA naombeni majibu.
 
Back
Top Bottom