wakuu,
Naomba utaratibu wa jinsi ya kuripoti na au kwenda moja kwa moja Ubalozi wa Marekani kuonana na kitengo au wahusika wanaodili na kuhifadhi wakimbizi au watu waliokimbilia Ubalozini kwao...
Tokea dunia iumbwe na hata katika kufanya tafiti zangu kadhaa maeneo mbalimbali hasa zinazohusu viongozi wa kiafrika na tawala zao leo naomba tu niseme ukweli kuwa sijawahi kuona na kuvutiwa na...
WAENDESHA pikipiki maarufu kama bodaboda na baiskeli, kuanzia leo wamepigwa marufuku kusafirisha mazao ya misitu kama vile mkaa na mbao kwa kutumia vyombo hivyo, na watakaokiuka watachukuliwa...
Wale wataalamu wa simu naombeni msaada wenu mnijuze .
Mi natumia Techno C8 ila siku mbili tatu hizi nikiwasha data huwa natumiwa notification kwamba simu yangu System update is available .
Sasa...
Habari zenu!
Moja kwa moja ktk mada, nafikiri uongozi wa udart, wanaoendesha mabasi yaendayo haraka (Mwendokasi) yanahitaji kuwa na konda ndani, lengo kubwa la konda sio kukusanya nauli hapa...
Kwa mujibu wa dada yetu yule maarufu wa mtandaoni, mnada ni tarehe 19/04/2017 kama ambavyo tangazo la Benk husika linavyosomeka.
Alichofanya dada yetu ni kuweka tangzo hilo mtandaoni.
Ni zile...
Wana forums, mimi kama mteja wa SANITAS nimesikitishwa sana na taarifa hizi za kusitishwa huduma za Bima ya afya. Sina hakika na matatizo yaliyojitokeza ila nadhani NHIF wanapaswa kutumia sana...
Pengine wengi hawaelewi undani wa siku ya Pasaka, zaidi tu ya kujua kuwa siku kama ya leo Yesu Kristo alikufa kwa kusulubiwa msalabani!
Lakini there is a bigger picture watu ambao hawaielewi...
1: Judge Harry, Marekani
Flyover hii imejengwa jijini Los Angeles, Marekani ambapo unaambiwa ina urefu wa zaidi ya futi 130 kutoka ardhini. Ilijengwa mwaka 1993 na ina uwezo wa kupitisha magari...
Habari za mda huu wakuu na wadogo,
Husika na kichwa cha habari,
Naenda kwenye mada jana mida ya saa 2 usiku kuna wasafiri walienda kukata tiketi hatimae wakaambiwa za saa 1 zimeisha yani leo...
Mbunge Maige.
Wakati akiwa Kahama sekondari kama mwanafunzi, alikuwa anaishi kwa Dada yake Felista. Dada yake Maige alikuwa amepanga nyumba moja na mama yangu mzazi kwa mzee William mtaa wa...
Katika uzi uliopita, jamaa mmoja amekiri kwamba Roman Catholic hawafuati baadhi ya maagizo ya biblia amabalo ni neno LA Mungu. swali hivi kweli Mungu ataangamiza watu wengi hivyo? Mbona wakati wa...
Wadau nifanye nini?
Huu ni mwaka unakatika sina kazi, kipindi mkataba wangu wakazi unaisha nilikua na matumaini ya kupata pesa zangu kutoka mfuko wa hifadhi ya jamii ila naona suala hili...
Taarifa zinasema saa chache zilizopita (saa 8 usiku) majambazi yamevamia kituo cha Polisi cha Ikwiriri, Rufiji mkoani Pwani na kuua polisi wawili na kupora bunduki. Hivi sasa hali ni tete na watu...
Wasalaam Wanabodi.
Kumekuwa na dhana kuwa jicho la marehemu huacha picha ya kitu cha mwisho kabla ya kupoteza fahamu na baadae kukata roho. Dhana hii imekuwa ikiaminiwa sana na wauwaji na kufikia...
Habari.
Hivi tanesco hawamo.humu?
Wakatueleza kero ya kukatwa umeme kijichi???
Jamani saa mbili hadi saa saba au nane usiku???? Au kuna mgao?????
Maeneo gani hawakatikati nihamie maana...