Ni kweli Peninsula Apartments zilizoko Masaki zinapigwa mnada na Benki ya Exim?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,694
149,917
Kwa mujibu wa dada yetu yule maarufu wa mtandaoni, mnada ni tarehe 19/04/2017 kama ambavyo tangazo la Benk husika linavyosomeka.

Alichofanya dada yetu ni kuweka tangzo hilo mtandaoni.

Ni zile zilizoko karibu na Shoppers Plaza-Masaki.

Reserved price: USD 5.2 million

Je,tunaelekea wapi?
 
Reserved price: U.S.D 5.2 milion

Je,tunaelekea wapi?
Kwani kunatatizo mbona watu kibao wameuziwa nyumba kipindi cha jk
 
Kwa mujibu wa dada yetu yule maarufu wa mtandaoni, mnada ni tarehe 19/04/2017 kama ambavyo tangazo la Benk husika linavyosomeka.

Alichofanya dada yetu ni kuweka tangzo hilo mtandaoni.

Ni zile zilizoko karibu na Shoppers Plaza-Masaki.

Reserved price: USD 5.2 million

Je,tunaelekea wapi?

Alipe mkopo wa bank. Defaulter yoyote yule ana wajibu wa kulipa mkopo
 
Kuna anguko kubwa sana la biashara ya "real estate". Maghorofa mengi city centre sasa yako matupu watu wanakimbia!
 
Kwa mujibu wa dada yetu yule maarufu wa mtandaoni, mnada ni tarehe 19/04/2017 kama ambavyo tangazo la Benk husika linavyosomeka.

Alichofanya dada yetu ni kuweka tangzo hilo mtandaoni.

Ni zile zilizoko karibu na Shoppers Plaza-Masaki.

Reserved price: USD 5.2 million

Je,tunaelekea wapi?
Swali lako is irrelevant. Bank zinauza assets za wateja wanao default au kushindwa kulipa mkopo, si Tanzania tu bali duniani kote ndio utaratibu wa financial institutions kulinda pesa yake. Sasa unauliza tunaelekea wapi? Jibu jepesi tunaelekea ku recover hela ya bank.
 
Yule ni Dada Wa ile Saccos ya chini ya Mlima na wafuasi wake ni kutoka kwenye ile Saccos

Liars do go to face the everlasting fire!...........look at what the truth is

mange.jpg

screenshot-from-2015-07-16-17-53-28-png.268666
 
Kwa mujibu wa dada yetu yule maarufu wa mtandaoni, mnada ni tarehe 19/04/2017 kama ambavyo tangazo la Benk husika linavyosomeka.

Alichofanya dada yetu ni kuweka tangzo hilo mtandaoni.

Ni zile zilizoko karibu na Shoppers Plaza-Masaki.

Reserved price: USD 5.2 million

Je,tunaelekea wapi?
Dawa ya deni ni kulipa. Mimi mwenyewe nimetoka Benki sasaivi kulipa mkopo wa Bodi ya HESLB niliokopeshwa miaka ile naogopa wasije kuninyang'anya cheti changu kama nikishindwa kulipa.
 
Alipe mkopo wa bank. Defaulter yoyote yule ana wajibu wa kulipa mkopo

Analipeje huo mkopo na mzunguko uliopo?? Je, ana wapangaji au ameuza hizo appartments na amekaidi kulipa huo mkopo?? tuchukulie wamiliki hawajapata bado wapangaji au wanunuzi wa hizo apartments, je, ni watanzania wangapi wenye uwezo kwa kununua au kupanga kwenye hizo appartments?? Mimi kama mtanzania sina uwezo wa kupanga, sembuse kununua, wewe je??

Na kama ilikuwa tegemeo ni wawekezaji wa nje na ndani, kwa sasa kila mtu anaishikilia hela yake kidogo aliyobaki nayo kwa sababu ya kukosa kuijua kesho ya nchi yetu.

Huwa napatwa na wakati mgumu sana kuona kuna watanzania wanaoamini bado tupo sawa. Tukubaliane na ukweli, hali si kama ile, ni mbaya wadau.
 
Swali lako is irrelevant. Bank zinauza assets za wateja wanao default au kushindwa kulipa mkopo, si Tanzania turn bali duniani kote ndio utawatibu wa financial institutions kulinda pesa yake. Sasa unauliza tunaelekea wapi? Jibu jepesi tunaelekea ku recover hela ya bank.
Kujifanya huelewi msingi wa swali langu hukusaidii kuficha ukweli hata kidogo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom