Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,379
Mbunge Maige.
Wakati akiwa Kahama sekondari kama mwanafunzi, alikuwa anaishi kwa Dada yake Felista. Dada yake Maige alikuwa amepanga nyumba moja na mama yangu mzazi kwa mzee William mtaa wa kilima-Nyihogo wilayani Kahama.
Hahahaa Maige tulikuwa tunakaa naye kibarazani tunaapiga stori kipindi hata darasa la kwanza sijaanza. Haaha Mambo mengine bwana ni Mungu tu. Uncle Maige.
Deogratius N Kisandu