Shida na raha
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 3,773
- 3,471
Habari za mda huu wakuu na wadogo,
Husika na kichwa cha habari,
Naenda kwenye mada jana mida ya saa 2 usiku kuna wasafiri walienda kukata tiketi hatimae wakaambiwa za saa 1 zimeisha yani leo. Wakalala pale pale bandarini hadi asubuhi ya leo, asubuhi wamekuja wengine wamepata ya 1 na kuendelea,
Hapo wakasema za saa 2 zimeisha ikabidi wapewe za saa 10 jioni, hatujakaa sana wamekuja wengine wamepewa tena za saa 2 wamekosa ambao wamelala usiku mzima pale bandarini.
Sijui tatizo hili linasababishwa na nini au ni kwa sababu bahari wameitawala wao? Sijapata jibu mpaka sasa nalileta kwenu kwa mchango wa mawazo.