Katika uzi uliopita, jamaa mmoja amekiri kwamba Roman Catholic hawafuati baadhi ya maagizo ya biblia amabalo ni neno LA Mungu. swali hivi kweli Mungu ataangamiza watu wengi hivyo? Mbona wakati wa sodoma Ibrahim alikubaliwa kuhurumia mji Kama wakikuta wenye haki hata watano tu? Naomba Naomi.