Tatizo la umeme kijichi

majiyachupa

Member
Jul 5, 2011
57
11
Habari.

Hivi tanesco hawamo.humu?

Wakatueleza kero ya kukatwa umeme kijichi???

Jamani saa mbili hadi saa saba au nane usiku???? Au kuna mgao?????

Maeneo gani hawakatikati nihamie maana inakera?????
 
Aiseee huku miande ni hatari. Mpaka ninahisi tupo nje ya eneo la Tanesco
 
Yaani wanatunyanyasa kwa kweli
Imekuwa ni ratiba sasa kukata umeme na kuurudisha usiku wa manane

Hapa tunalipia wangekuwa wanatupa umeme bure si tungejuta sisi
 
Tunarudisha feeder aitaki kukaha,mafundi wetu wako wanapatrol line kuwa mvumilivu
 
Mkuu ndo kila siku muda kama huo mnarudisha hizo feeder? Kama ww ni mmoja wa Mafundi wa Tanesco basi Mbagala kuweni wapole tu!!!
 
Hizi feeder ni kila siku????
Tena mida ile ile saa mbili hadi saa nane au saba????

Na mmekata saa tatu hii nayo ni feeder?

Zamani mlikuwa na wimbo wa low voltage baada ya kuchuja mmekuja na feeder

Haya bana......
 
Back
Top Bottom