Msaada wako Tafadhari

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
13,941
24,816
Wale wataalamu wa simu naombeni msaada wenu mnijuze .
Mi natumia Techno C8 ila siku mbili tatu hizi nikiwasha data huwa natumiwa notification kwamba simu yangu System update is available .
Sasa naomba kuuliza niki update system simu haiwezi collapse ?au haitakuwa na tatizo lolote?
Ni hayo tu.
 
Back
Top Bottom