Hassan Mambosasa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2014
- 4,013
- 5,888
Ni android application, yenye kukusanya watunzi lukuki. Wenye uandishi wa aina tofauti kwenye nyanja ya riwaya, hadithi fupi na machembezo. Si nyiingine bali ni Hadithi App, inayokuwezesha kusoma na kusikiliza hadithi za aina mbalimbali. Kwa sasa ipo kwenye mfumo unaokuwezesha wewe kuweza kulipia baadhi ya riwaya na hadithi kupitia kujaza kwa kibubu ambacho kinakuwezesha wewe kununua kazi uitakayo. Ukinunua hadithi pia unaweza kujisomea hata muda ambao huna mtandao, pamoja na kuwekwa mfumo wa kulipia bado unaweza kujisomea za bure zilizomo ndani ya application hii.
Waandishi waliyomo kwenye application hii ni kama vile;
-Mimi mwenyewe/Hassan Mambosasa
-Frank Masai
-Hussein Mollito
-Richard Mwambe(Kamanda Amata)
-George Iron Mosenya
-Emmanuel Kway
-Eliado Tarimo
-Kalmas Konzo
-Zuberi Mavugo
-Paul B Mtobwa
na wengine wengi ambao wanfanikisha kuweza kusonga mbele kwa App hii, kariu ujisomeaa ladhaa zao maridhawa zilizopo maandishini na pia kwenye sauti.
hii ni nembo kwa ajili ya Application hii
mwenokano wa app ndiyo huu, huko juu kuna chaguo la kusikiliza(audio) au kusoma
kategori za hadithi unaweza kuzikuta humu, hapo ndiyo unaweza kungalia ina ya hadithi au riwaya inaipenda. Ukasoma ya bure isiyouzwa au ukalipia yenye kuuzwa.
Kuweza kuipakua application hii kwenye playstore bofya >>>Hadithi - Android Apps on Google Play