Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 26,953
- 49,704
Nimefurahishwa sana na huduma ya hawa vijana wanaotutengeneza miguu kina dada. Sasa hivi ukisafishwa mguu unapewa offer ya massage bure.Hela zangu zitaishia saluni kusafisha miguu jamani 






full burudaniAseeeh
never never neveroffer offer offer
bid bid bidnever never never
natafuta wapi?Unachokita utakipata Miss Natafuta ... ila usije ukasema Ngoja niende toi
hivi unajua faida ya massage mkuu watu wanalipa hela nyingi kupata hyo tibaAsante kwa kunijulisha yanayoendelea huko saluni kwenu.
Umenipa sababu ya ku INFLICT permanent ban kwa huyu mrembo kuhusu hiyo michezo yenu ya kishwaitan..!
Mimi nakuangalia tu...full burudani
safi mkuuMiguu hyo na massage free,aisee ngoja nijifunze kwa ajili ya mke wngu tu
Naanza kusafisha wanawake miguu, nimegundua ni KAZI aliyoianzisha YESU alipowatawadha wanafunzi wakenimefurahishwa sana na huduma ya hawa vijana wanaotutengeneza miguu kina dada.sasa hivi ukisafishwa mguu unapewa offer ya massage bure. hela zangu zitaishia saluni kusafisha miguu jamani![]()
Kwenye Masaji....natafuta wapi?
Maana kwa hali hii ya hewa nami nahangaika mikoan kwenye kilimo halaf massage kabsaa aiseee anaweza kumgaia duuhsafi mkuu