Voda Com tuambieni huu ni utapeli au ndio mnatoa zawadi?

Jotu

JF-Expert Member
May 8, 2012
444
311
Leo nilipigiwa simu na namba+255744262524 ambayo wanadai watanipa zawadi ya sh 120,000 na simu aina ya techno c8 na kwamba ningechukua zawadi yangu ktk duka lenu mahali nilipo.

Kisha wakaniuliza kiasi gani ninacho ktk Mpesa. Niliposema sina wakàniambia ntakiwa iwepo 30,000. Nikashtuka.

Tujulisheni ni utapeli aina gani huu?
 
Back
Top Bottom