WISE 2012
JF-Expert Member
- Mar 13, 2012
- 634
- 460
Nani anarudisha viingilio vya mashabiki waliolipa kutazama soka? Halafu bado tunalaumu wale wanaopenda soka la Ulaya kuliko la ndani?....Kitu cha msingi ni kumshabikia Samatta tu na Ligi Kuu ya England...Na nawakumbusha tu, Jumapili ni Mourinho vs Conte...Tukutane Old Trafford kutazama mpira wa kweli. Trafford mpira ukiisha umeisha!