NZURI PESA
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 5,958
- 2,951
Zimepita ndege angani mjini kwetu aina ni kama za kivita je ni mazoezi au kwakweli tulio ziona tumeshtushwa mno.kama ni mazoezi muwe mnatutangazia ili tusianguke kwa presha wenzenu
Mkuu....Zimepita ndege angani mjini kwetu aina ni kama za kivita je ni mazoezi au kwakweli tulio ziona tumeshtushwa mno.kama ni mazoezi muwe mnatutangazia ili tusianguke kwa presha wenzenu
wapi hapo mkuu?au umemaanisha "DEAR MAMA"?Mkuu....
Achana na hayo madege.
Ebu njoo hapa Der Mama, tupate lunch
HATA HIVYO ZIMETUTISHA MKUUMbona hazijatua? Zimepita tu chwaaaaaaaa.......
AISEE SIPANDI HATA BUREE SI KWA KASI NA MLIO ULEHizo ndizo mkuu aliwambia mpande kama zile Bombardier hazina speed (unaweza kupanda ukaona speed yake usiogope)
Mi nilidhani N.korea kesha achia kombora la masafa marefu limepotea njia likaja huku...Zimepita ndege angani mjini kwetu aina ni kama za kivita je ni mazoezi au kwakweli tulio ziona tumeshtushwa mno.kama ni mazoezi muwe mnatutangazia ili tusianguke kwa presha wenzenu
Dodoma ni makao makuu ya serikali.Tarehe 26 nchi inaadhimisha sherehe za muungano,unataka utangaziwe ndege zinapaa au utangaziwe sikukuu?jiongeze banaZimepita ndege angani mjini kwetu aina ni kama za kivita je ni mazoezi au kwakweli tulio ziona tumeshtushwa mno.kama ni mazoezi muwe mnatutangazia ili tusianguke kwa presha wenzenu
Hata nyie wa mikoani kumbe mnakuwaga waoga kiasi hichooooooHATA HIVYO ZIMETUTISHA MKUU
Yeah.....ndo
wapi hapo mkuu?au umemaanisha "DEAR MAMA"?
Mkitoka hapo jioni mje perugina tucheze mzikiMkuu....
Achana na hayo madege.
Ebu njoo hapa Dear Mama, tupate lunch
Kama ni live band, naweza nikakuja aiseeee....Mkitoka hapo jioni mje perugina tucheze mziki
Achana nae huyo sio mkazi wa dodoma,umemtajia kabisa dear mama halafu hajaelewa....basi itakuwa anakaa mpwapwa au kongwaYeah.....
Nilimaanisha Dear Mama
Achana nae huyo sio mkazi wa dodoma,umemtajia kabisa dear mama halafu hajaelewa....basi itakuwa anakaa mpwapwa au kongwa