FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,876
- 44,926
Kwani haiwezekani eti..
Mie ilibidi ni sign out kwanza nikifikiri mtandao unashidaNdo nini sasa au kuna picha umeambatanisha sijaiona
tayari wana shirika LA bima. azam insurance coyKwani haiwezekani eti..
Kuna biashara zingine yule mzee hawezi kufanya nadhani. Haswa hio ya kwanzaKwani haiwezekani eti..
Hahaha umeme mdogo....Katika Watanzania wanne, mmoja wao kichwani umeme mdogo
Zimejaa za kutoka Uturuki na China, yaan tuna export ajira, hili lifike mwisho, hizo ajira zibaki hapa hapaKuna biashara zingine yule mzee hawezi kufanya nadhani. Haswa hio ya kwanza