Kufuatia TCRA kuzitoza faini ya Tsh 600 million kampuni Kadhaa zinazotoa huduma za mawasiliano kwa kosa la kutoa huduma chini ya kiwango nimejikuta najiuliza maswali yafuatayo?
1.Sisi walaji...
Tigo wamenishangaza sana leo. Nimepiga simu yangu ya tigo namba o715xxxxxx kwenda tigo 0655xxxxxx.Mitambo ikaniambia hivi: "Samahani.Simu yako haiwezi kuunganishwa kwa sababu unayempigia hana...
Hello Habari za wakati huu wana jf
Naimani humu kuna wataalam wa maswala ya ufugaji huthusan wa kuku
Nilikuwa na mtaji wa 30,0000 nimewaza kufuga kuku Eneo ninalo tayari
Je mtaji wangu...
Tuliwapokea vyema na speed ya internet yenu ilitubamba ila kwa sasa naona mmeelemewa na mzigo aisee. Yaani hata Live streaming tu ni shida, tena huu mwezi ndio kabisaaa!!
Kupost tu hii thread...
Ukitazama kwa makini utaona kuna Dini moja tu ya Mungu lakini nini chanzo cha madhehebu kuwa mengi duniani? Kama dunia ni moja na Mungu ni mmoja basi lazima awe na Dini moja! Na ndiyo Maana agano...
Hope mmeamka salama.Mimi ni kijana wa kitanzania,kutokana na ugumu wa ajira,nimeamua nitoke kivingine.Nahitaji kusomea udereva kwa kozi fupi.Nipo Arusha,Je ni wapi kuna chuo bora kwa mafunzo ya...
Moja naomba msaada wa rout nzuri kutoka Dar to Mutukula na je kuna basi zinazotoka Mutukala moja kwa moja mpaka Dar kama zipo na nauli ni kiasi gani, natanguliza shukrani.
The Lord's descent into hell
"What is happening?
Today there is a great silence over the earth, a great silence, and stillness, a great silence because the King sleeps; the earth was in terror...
Kiukweli Dawasco mnafanya biashara kibabe sana,bila kutumia weledi...mimi nilikuwa sidaiwi bili yoyote...nashangaa february naletewa bili ya juu sana ..tofauti na miezi mengine...nauliza...
Pamoja na kwamba tukio la kuuawa kwa askari polisi huko mkoani Pwani ni baya na la kusikitisha, kumekuwa na taarifa kwenye vyombo vya habari kwamba washukiwa wanne wameshauliwa na jeshi la polisi...
Hivi karibuni kumeibuka hali inayoitwa ya sintofahamu kuhusiana na sakata la nape kuonyeshwa silaha na mtu aliyetokea kwenye mkutano wake.
Watu wengi walilichukulia hili tukio kisiasa zaidi na...
Huu mkoa umekaa kama pweza yaani umetawanyika, kiasi kwamba hata kuichora ramani yake inakuwa ngumu kidogo ukiwa Dar barabara zote kuu zakutoka mkoani zinapita mkoa wa pwani ie kusini kuna kilwa...
Nimekuwa nikichunguza kwa kina uongozi uliopita nichokigundua kuna system kubwa yenye mamlaka ya urais duniani au hapa nchini. Tizama picha hii
Mlinzi wa mheshimiwa Rais msataafu Dk.J.K.MRISHO...
Habari za mida hii Wadau,kimvua na kibaridi hiki kimenikuta katika wakati mzuri Sana baada ya kupata kabinti flan kakunifariji Kwa siku zote hizi za holiday nikijipimia mwenyewe Kwa kifurushi...
Aisee...
hii naiona mimi tu pekee au kuna wengine waionavyo kama mimi...[emoji15]
.
Kwa siku nyingi nimekuwa mfatiliaji sana wa picha/video mbalimbali zinazokuwa zikirushwa kwenye media...hasa...
MWILI wa aliyekua Mwandishi wa habari Josephat Isango unatarajiwa kuzikwa siku ya Jumanne, saa nne asubuhi nyumbani kwao Kisasida mkoani Singida.
Marehemu Isango alifariki dunia jana mapema...