Ocenicbay
Senior Member
- Apr 9, 2017
- 103
- 121
Hope mmeamka salama.Mimi ni kijana wa kitanzania,kutokana na ugumu wa ajira,nimeamua nitoke kivingine.Nahitaji kusomea udereva kwa kozi fupi.Nipo Arusha,Je ni wapi kuna chuo bora kwa mafunzo ya udereva kwa muda mfupi na gharama nafuu,mbali na veta.Nawasilisha