nkulikwa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2015
- 721
- 813
Ukitazama kwa makini utaona kuna Dini moja tu ya Mungu lakini nini chanzo cha madhehebu kuwa mengi duniani? Kama dunia ni moja na Mungu ni mmoja basi lazima awe na Dini moja! Na ndiyo Maana agano lake ambalo lilikuwa jipya kabla ya agano jipya vinaishi pamoja! Injili ipo ndani ya msahafu bila shida! Kwanini madhehebu Lengo lake nini?