kiumbe kipya
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 2,831
- 1,303
Moja naomba msaada wa rout nzuri kutoka Dar to Mutukula na je kuna basi zinazotoka Mutukala moja kwa moja mpaka Dar kama zipo na nauli ni kiasi gani, natanguliza shukrani.
asante mkuuKuna basi la Taqwa linaenda Kampala
Au Panda bus la Bukoba nauli elfu 60000 then ukifika bukoba utadaka hiace za Mutukula nauli elfu 2500 tu
Hii iko sawa mkuu hata mie naielewa sana na ni nyepesi ki ukweliKuna kampuni tatu za mabasi ya Dar to Kampala, ambayo ni Taqwa, Falcon na Friends, ila shida ni kwamba hayana route za kila siku. Nenda Ubungo upate maelezo ya kina. ila zuri kati ya hayo ni Friends, Falcon wana tabia ya kufaulisha abiria, nauli si chini ya Tsh 60,000/=
Njia nyepesi na rahisi zaidi panda magari ya Dar - Bkb, bukoba to Mutukula boarder it is just Tsh 3000/= na utawahi zaidi ukilinganisha na mabasi mengine, na utaweza kuchagua gari unalotaka. Nauli ni Tsh60,000/=
You are warmly welcomed to the Uganda Tanzania Boarder.