Kufuatia TCRA luxuries kampigia za mawasiliano faini watumiaji WA mtandao tunafidiwa vipi?

Mulangila Mukuru

JF-Expert Member
Feb 24, 2010
1,945
724
Kufuatia TCRA kuzitoza faini ya Tsh 600 million kampuni Kadhaa zinazotoa huduma za mawasiliano kwa kosa la kutoa huduma chini ya kiwango nimejikuta najiuliza maswali yafuatayo?
1.Sisi walaji (watumiaji wa mtandao ya simu na mawasiliano kwa ujumla) ndio tumeathirika kwa kukosa huduma sahihi na wakati mwingine tumepata hasara kutokana na huduma mbovu TUNAFIDIWAJE?
2.Kwa nini TCRA hawaoni umuhimu kuwafidia wateja waliopata hasara badala yake wanakimbilia kuchukua faini?
Naomba ufafanuzi kwa anayejua
 
Back
Top Bottom