baba anjela
JF-Expert Member
- Mar 17, 2013
- 431
- 310
Kiukweli Dawasco mnafanya biashara kibabe sana,bila kutumia weledi...mimi nilikuwa sidaiwi bili yoyote...nashangaa february naletewa bili ya juu sana ..tofauti na miezi mengine...nauliza wananiambia kuwa hiyo bili ni yangu...sababu kuna bili nyuma ziliingizwa vibaya... Nikaomba nionyeshwe hizo bili naambiwa ni za nyuma sana ziwezi kuziona...haya nikaprint statement ya mwaka jana...sikuona kitu..
Basi nikakubali kulipa ...sasa cha kushangaza wanataka mimi nilipe hiyo pesa yote...bila kujali kuwa tatizo lilikuwa lao ,sababu wao ndiyo waliokuwa wakiingiza data kimakosa.. Mimi nilitegemea nitailipa kwa mafungu mpaka deni lina kwisha...
Bado piya wanatishia kukata maji...
Dawasco badilikeni...sisi ni wateja..lazima mlinde haki zetu..
Na wewe ndugu yangu unaweza kuongeza kero yako.... Serikali watafatilia kero zetu...