Naisujaki Lekangai
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 1,340
- 1,377
Tigo wamenishangaza sana leo. Nimepiga simu yangu ya tigo namba o715xxxxxx kwenda tigo 0655xxxxxx.Mitambo ikaniambia hivi: "Samahani.Simu yako haiwezi kuunganishwa kwa sababu unayempigia hana salio la kutosha!"
Hii kitu tigo wameanza lini?
Yaani kama mtu hana salio la kutosha hawezi kupokea/kupigiwa simu? Maajabu!
Hii kitu tigo wameanza lini?
Yaani kama mtu hana salio la kutosha hawezi kupokea/kupigiwa simu? Maajabu!