WABALLA Inc
JF-Expert Member
- Sep 2, 2014
- 2,711
- 1,016
Kuna tatizo la kimitambo katika hizi redio mbili. Huwa napenda kusikiliza vipindi hasa MAZUNGUMZO YA FAMILIA radio one. Ila leo naona hawasikiki huku mara. Nimejaribu online pia siwapati.
Tafadhali shughulikieni mitambo yenu!
Tafadhali shughulikieni mitambo yenu!