Shida na raha
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 3,773
- 3,471
Habari za asubuhi waungwana.
Nimefika kijijini kwetu kwenda kutembea hatimae nikaenda kwenye cha father kanieleza shida yake ya kuhuaiana na printer kwamba haileti moto.
Sasa naomba msaada wenu kwa yule ambae ana ujuzi japo kidogo anifahamishe nijaribu kuichokonowa maana hakuna hata fundi kwa hapo. Naleta kwenu kwa msaada zaidi, kejeli sitaki kwa ambae hawezi kutoa mchango was mada hii aachane nayo, awe msomaji tu.