Ni majuma machache yamepita, jukwaa la Wahariri pamoja na Wamiliki WA vyombo vya habari waliweka msimamo wa kumsusia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kwa chochote kile, hususani kumpa coverage. Nakumbuka pia Kuna mtangazaji wa Clouds aliadhibiwa kwa kumtaja na kumsifu Makonda kwa masuala yahusuyo michezo.
Kwa vipindi vinne tofauti, nimewasikia Clouds FM wakiupiga wimbo mmoja WA Taarabu unaomsifia Makonda. Wimbo huu mara nyingi hupigwa SAA saba ama kumi Usiku. Je kitendo hicho sii kuwasaliti TEF na MOAT kwa kile walichokubaliana? Hata Usiku WA kuamkia Leo walifanya hivyo, au sii Moja ya namna ya kumpa coverage Makonda?
TEF/MOAT, Clouds wamewasaliti, waadhibuni kwa kuwatenga, mliingia katika UAMUZI huo baada ya kuona kile Clouds walichopitia, mkawaonea huruma na kuwakumbatia kama WAMOJA, Leo hii wanamsifia yuleyule Adui!
Kazi kwenu!