Bwiree
Senior Member
- Nov 12, 2016
- 164
- 103
Ndugu IGP kwanza nikupe pole kwa msiba huu mzito huu msiba niwetu. Kila mtanzania ameguswa na tukio hili . hakuna mtanzania anaye wezafurahia juu ya kuuwawa kwa ndugu zake imetuumiza sana. Lakini tujiulize kwanini police akiuwa kunaibuka kundi la watu kushangilia? Je , watanzania wameshindwa kufichua wahalifu? Nikweli watanzania wanashangilia tukio hili?
Swali la msingi kwanini haya yanatokea?
Ushauri wangu kwako :
1. Usitumie nguvu nyingi kuwasaka wahalifu. Bali ingia kwa wananchi ukae nao kama ndugu zako kisha watake wakusaidie kufichua wahalifu mahari walipo.
2. Rudisha mfumo wa police jamii nauwe active ili jamii ishiriki kikamilifu katika ulinzi wa taifa letu.
3. Kumbuka wanasiasa si watu wema wao hupambana na wanao pingana nao hivyo kama wewe umepewa dhamana hakikisha uaepukana na kutumika kisiasa . maana kundi kubwa sasa liloko katika jamii limegawanyika kisiasa sasa ukiwaegemea wanasiasa utakuta unaliumiza kundi jingine . hivyo unakuwa si mlinzi wa amani tena unakua mlinzi wa vurugu.
4. Fanya police forums wape watu Uhuru wa kuhudumiwa najeshi la police kwa upendo nasi hayo mnayo fanya kwa sasa.<br />5. Tunajua umeapa kiapo cha uaminifu kwa viongozi wako wakubwa. Lakini kumbuka hao niwanasiasa wapo tayari kusimamia chama kisife hatakama kunawatanzania wanakufa. Kwakua wewe nimlinzi wa amani nakushauri tumia hekima kuishi nakusimamia maamuzi yako yasilete madhara kwa jamii....
6. Mkuu wananchi wamepoteza imani najeshi lao maana ikifika wakati wao wa kudai haki basi jeshi lako hungilia kati nakuwapiga wananchi kuwaumiza kuwapa vilema nawengine kufa . kwakuwa wewe unalipwa mshahara mzuri , na upo kuwafurahisha wanasiasa hujari maumivu hayo. Kinachotokea nimpasuko myoyoni mwa watu nahivyo kuamua hata kuwauwa police , kuchoma vituo vya police, pia kushangili matukio kama haya police kuuwawa. Haina haja ya kupambana na RAIA wasio na siraha tumia hekima kidogotu utafanikiwa kuweka mambo sawa. Police sasa wamekua adui wapolice kwasababu ya udhaifu wako .wewe ndo chanzo cha police kuchukiwa na RAIA .
7. Vaa uhusika wa nafasi ulio nayo.kusaidia taifa nasi kusaidi chama flani au mwanasiasa flani.
8.Acha nidhamu ya uoga . kaka hudumia wananchi usiogope kupoteza nafasi ulonayo kwa kusimamia haki . sikuzote haki isipo tedwa amani hutoweka.
Wewe mkuu ni muoga sana sasa hii nihatari na unaye mwogopa niyule aliye kuweka hapo juu. Sasa usije ukadhani nawanchi niwaoga . watanzania wamekwisha kata tamaa nasikuzote MTU aliye kata tamaa hufanya jambo lolote wakati wowote mahali popote. Nakushauri acha woga pigania haki nasi kukandamiza haki. Ukiwa mkweli wa moyo wako kilakitu kitakua sawa .
9. Mwombe mungu akupe hekima kusimamia amani na kutenda haki . ukishindwa kupata hekima ya mungu katu hutafanikiwa .
10. Mwombe mkuu wako akupe Uhuru wako wakufanya kazi nasi kwa kufanya kwa kumuogopa . na usipambane na wanchi kwa siraha za moto wafanye kuwa rafiki zako.
NB:
Kumbuka mkuu wako anatengeneza kizazi cha watu waoga hata fanikiwa kwa jina la yesu hakuna atakaye mwogopa japo ninyi mtamwogopa . matukio hayo yanatokea kutokana na chuki mlizo zijenga kwa wananchi kwa kutotenda haki . nakwambia mkisimama katika haki nasi wananchi tupo nyuma yenu.
MUNGU IBARIKI TANZANIA
Na mwandishi chipukizi.
Abratheo